Kozi hii inachunguza dhana ya mfumo sauti katika lugha.  Mifumo sauti inayochunguzwa ni fonetiki na fonolojia.  Fonetiki inachunguza sauti za lugha kwa jumla na kwa upande mwingine fonolojia inachunguza sauti za lugha teule.