This is field attachment course for senior students taking development studies.

This is field attachment course for senior students taking development studies.

Kozi hii  inalenga wanafunzi   stashahada wanaosomea kozi mbalimbali. Lengo la somo hili n kuwasidia wanafunzi hao kutumia lugha ya Kiswahili ya kiswahili kwa ufasaha wake katika mawasiliano ya kawaida.   Ili kufikia malengo haya, kozi hii itaangazia masuala kama vile:  dhana ya lugha, umuhimu wa kujifunza Kiswahili, hali ya Kiswahili hivi sasa, sauti za Kiswahili, maneno, sentensi na maana ya maneno mbali mbali.  Kwa sababu hii historia fupi na tamaduni za Kiswahili pamoja na stadi zote za mawasiliano kuanazia kusikiliza, kuzungumza, kusoma na kuandika zitazingatiwa ili kuwezesha mwanafunzi kuwaza, kuomba, kuagiza, kufuata maagizo, kusoma na kuwasiliana kwa njia ya Kiswahili kwa kiasi katika shughuli zake za kila siku.  Kozi hii basi, itakupa ilhamu na ujuzi wa kuweza  kuwasiliana kiwa kutumia lugha ya Kiswahili.