Kozi hii inanuiwa kumwangazia mwanafunzi kaida za kiakademia na  za kitaaluma katika mawasiliano ili kumwezesha kuwa mtaalamu anayeweza kutumia nadharia za kuwasiliana pamoja na kupata mazoea yatakayoafikia mahitaji yake ya kiakademia na ki-maisha.