Kozi hii inalenga  kukupa ujuzi katika mbinu za kisayansi na zinazotumika katika Utafiti wa lugha ya Kiswahili na Fasihi. Vile vile, kozi hii itakufaa katika kujifunza mbinu mbalimbali za namna ya kufanya utafiti. Hii ni pamoja na hatua na njia za kuandika pendekezo la utafiti.